Summary: TIMU ya Geneva FC na Tegeta FC za Bunju, zimekiomba Chama cha Mpira wa Miguu wilaya ya Kinondoni (KIFA), kufanya haraka kutoa maamuzi ya kucheza fainali ya Kombe la KIFA iliyokuwa ifanyike Desemba mwaka jana.
Summary: SIKU chache baada ya kudaiwa timu ya Simba ilitelekezwa baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Toto African ya Mwanza,Wanachama wa klabu hiyo wamewaomba wanachama wenzao wanaoanzisha chokochoko ndani ya klabu hiyo wasifanye hivyo na badala yake waungane ili kuhakikisha timu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Summary: Ucheleweshaji mshahara TRL waleta hofu. Wakizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana kwa sharti la kutotajwa majina, walisema kuwa wanapata hofu ya kutopata mishahara yao kwa wakati kutokanana na ukimya uliopo wa kutopewa taarifa yoyote kama ilivyo kawaida yao.
Summary: Kipawa washtakiwa kwa uvamizi Pugu Na Peter Mwenda WAKATI Mahakama ya Ardhi ya Wilaya ya Ilala ikisikiliza kesi ya wakazi wa Mgeule, Kata ya Chanika kudai mashamba yao kugaiwa kwa wakazi waliohamishwa kutoka Kipawa, mkazi mwingine wa Pugu Kinyamwezi amefungua mashtaka kutaka alipwe sh. mil. 48 baada ya shamba lake kuchukuliwa.
Summary: IMEELEZWA kwamba kutokana na vijana wengi kuwa na fursa finyu za kushawishi maamuzi na mipango ya maendeleo, kumesababisha vijana hao wilayani Kibaha mkoani Pwani kuwa tegemezi kwa wazazi na serikali.